Learn about GenV: your opportunity to create a healthier future GenV is a research project built by Victorian families for all families. If you join, you will contribute to healthier children, parents, and families in the future.
Improving care and development through world-class research GenV will work in partnership with Victoria’s health organisations to collect data that will enhance researchers' capacity to understand patient outcomes.
Comprehensive research for precision policy and service delivery GenV aims to transform how we conduct research into health and wellbeing, establishing the foundations for new approaches to data-led policy and strategy development, and the strengthening of service delivery.
Our achievements, partners and key people Learn more about GenV’s collaborative partnerships with leading universities, institutes, and service providers, and meet the people who help to bring our exciting vision to life.
Home\For parents\Languages\Tunakualika wewe na mtoto wako mchanga kushiriki katika GenV. Back Tunakualika wewe na mtoto wako mchanga kushiriki katika GenV. Tunakualika wewe na mtoto wako mchanga kushiriki katika GenV. GenV ni mradi mkubwa zaidi wa utafiti wa utoto kuwahi kutokea nchini Australia. Taarifa ya Habari za Mzazi/Mlezi ya GenV Unaweza pia kujifunza juu ya GenV kwa kusoma waraka huu au kutazama video kwenye {www.genv.org.au}. Kabla ya kuamua, unapaswa kuelewa ni kwa nini GenV inatokea na inahusisha nini. Mjumbe wa timu ya GenV anakutembelea au anawasiliana nawe mara tu baada ya mtoto wako kuzaliwa – kawaida hospitalini. GenV hulenga kusababisha mambo yawe rahisi iwezekanavyo kwa watu kujiunga. Je, tujiunge GenV jinsi gani? Tia sahihi kwenye fomu ya idhini, na tutakupa nakala kuhifadhi. Unaweza kushiriki katika yote au baadhi ya GenV. Ona zaidi kuhusu kila moja ya haya hapa chini Tafadhali soma maagizo haya Tafadhali soma maagizo haya Ikiwa unakubali, tunakusanya habari kadhaa na vipimo vya usufi kutoka kwako na mtoto wako unapojiandikisha kwa GenV, na baadaye mtoto wako anapokua. Ikiwa ukikubali, unaweza kukusanya sampuli moja au yote mbili ili kurudisha kwetu kwa njia ya posta. Tafadhali soma maagizo haya Umepoteza seti au umefanya makosa? – Wasiliana nasi: Seti ya usufi wa nepi Maagizo ya Usufi wa Nepi wa GenV Soma zaidi kuhusu usufi wa nepi {hapa}. Tafadhali soma maagizo haya Seti ya maziwa ya matiti Maelekezo ya GenV ya Maziwa ya Mama Soma zaidi juu ya sampuli ya maziwa ya matiti {hapa}. Tafadhali soma maagizo haya